Matukio : Taswira mbalimbali kutoka jiji la Mbeya - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Saturday, 25 June 2016

demo-image

Matukio : Taswira mbalimbali kutoka jiji la Mbeya


IMGL2311
 Huu ndio mnara unaolitambulisha Jiji la Mbeya uliopo katika kipita shoto kinachoelekea maeneo ya katikati ya Mji. historia inaonyesha kuwa Mnara huu ulijengwa mnamo Mwaka 1974 ikiwa ni katika Maadhimisho ya Miaka 20 ya kuzaliwa kwa Chama cha Tanu ambacho baadae kilizaa Cha cha Mapinduzi (CCM). Huu ni Mnara maarufu sana Jijini hapa, ukiwa ni moja ya alama muhimu pia.
MMG_0614
 Kwa mbali kule ni Mlima Loleza ambao ni moja ya Milima inayoupendezesha sana Mkoa wa Mbeya.
MMG_1516
MMG_1565
 Uwanja wa Ndege wa Mbeya, sasa magari tu ndio yanajiachia.IMGL2221
IMGL2153
IMGL2200
 Sifa nyingine kubwa katika Jiji hili ni kutawala kwa ukijani kila kona, maana miti ipo kila mahala.
IMGL2344

IMGL2203

IMGL2239

IMGL2365

IMGL2398

MMG_1473

MMG_1487

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *