Elimu /Maisha : Mwanachuo Benadetha Msigwa anaomba msaada ili akatibiwe macho - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


22 May 2016

Elimu /Maisha : Mwanachuo Benadetha Msigwa anaomba msaada ili akatibiwe macho


Jaman wapendwa kuna mwanafunzi mwenzetu amepata upofu akiwa chuo na sisi kama wanafunzi tumeamua kumchangia pesa kama inawezekana akatibiwe ila inahitaji kama milion 30 kwa hiyo kwa yeyote atakaeguswa anaweza tuma chochote kupitia namba hizo hapo kwenye hicho kipeperushi.

Post Top Ad