Matukio: Waziri , Nape Nnauye Aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Ndanda Kosovo Jijini Dar leo - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Wednesday, 13 April 2016

demo-image

Matukio: Waziri , Nape Nnauye Aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Ndanda Kosovo Jijini Dar leo



5ce7eae0-3e1e-4222-a17b-9c0458fde672
 Waziri Nape Nnauye akisalimiana na Waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini, Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo ambaye  anatarajiwa kuzikwa jioni ya leo Makaburi ya Kinondoni jijini Dar.


9f4e58b5-f857-4df6-a04d-7839e5573f2d
27b61c4d-12ed-4382-8602-8027f20bee24
 Sanduku lenye Mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo ukiwasili mapema leo mchana katika  nyumba ya Ubalozi wa Congo,iliopo Hananasifu-Kinondoni jijini Dar,kwa ajili ya kuagwa na hatimae mazishi yake kufanyika jioni ya leo katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar. 4f8e5d03-e262-4ed7-9e75-e579a23d50d2
  Waziri wa Habari,utamaduni,Sanaa na Michezo.Mh Nape Nnauye akisalimiana na Waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo ambaye  anatarajiwa kuzikwa jioni ya leo Makaburi ya Kinondoni jijini Dar.

06946356-4148-41fa-8674-6effb6c3b7f9
  Waziri wa Habari,utamaduni,Sanaa na Michezo, Mh. Nape Nnauye akitoa salamu za rambirambi kwa Waombolezaji, wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo,katika nyumba ya Ubalozi wa Congo,iliopo Hananasifu-Kinondoni jijini Dar ,Ndanda Kosovo anatarajiwa kuzikwa jioni ya leo Makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
44d60141-3763-4719-aa7d-a4dd9e728fcf
  Baadhi ya Marafiki ndugu jamaa na wanamuziki wenzake wakiwa wamekusanyika nje ya nyumba ya Ubalozi wa Congo,iliopo Hananasifu-Kinondoni jijini Dar ,wakisubiri kuwasili kwa mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo kwa ajili ya kuagwa na hatimae mazishi yake kufanyika leo alasiri katika makaburi ya Kinondoni.
96e44a16-a759-41e4-9178-970d88feb969
  Mwanamuziki Lady Jay Dee akiwasili kwenye kuaga mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo mapema leo mchana.
5151990f-dfbd-4183-bb60-a0f5cac09f78
 Sanduku lenye mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo likiwa mbele ya Waombolezaji tayari kwa kuanza kumuaga.
a9ff9186-dbe3-449e-b908-878300115c16
 Baadhi ya Marafiki,Ndugu na Jamaa wakiwemo Wanamuziki wenzake wakiwa wamejipanga nje ya nyumba ya Ubalozi wa Congo,iliopo Hananasifu-Kinondoni jijini Dar, wakisubiri kuupokea mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo kwa ajili ya kuagwa na hatimae mazishi yake kufanyika leo alasiri katika makaburi ya Kinondoni,jijini Dar.
cf2fbaa1-81c0-4a39-8f02-f3f4e8ba8151
  Waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni.
d3e817f1-f0fe-400a-87bb-3d92d1e7f9ce
 Baadhi ya Marafiki ndugu jamaa na wanamuziki wenzake wakiwa wamekusanyika nje ya nyumba ya Ubalozi wa Congo, iliopo Hananasifu-Kinondoni jijini Dar, wakisubiri kuwasili kwa mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo kwa ajili ya kuagwa na hatimae mazishi yake kufanyika leo alasiri katika makaburi ya Kinondoni.
e1990da7-4d3e-4496-8e56-aff3c7d3876b
 Mama wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo akilia kwa uchungu mara baada ya kuwasili mwili wa Marehemu mwanae kwenye nyumba ya ubalozi wa Congo,Hananasifu-Kinondoni jijini Dar mchana huu. f32953c0-8922-4e22-963f-927a1e2d7e52
ec97828a-d806-453a-8444-765427e93b4d
  Baadhi ya waombolezaji wakilia kwa uchungu.
f44c39e4-ca6d-4630-abf0-e8fa3afaf5fd
 Baadhi ya Wanamuziki na Ndugu Jamaa na marafiki wakiwa kwenye msiba huo.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *