Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel akifungua mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania
ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) na kushirikisha
vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkazi Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) nchi ya Tanzania, Kenya,
Uganda, Burundi na Rwanda Bibi. Mary Kawar akizungumza na vijana (hawapo
pichani) wakati wa mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania
ulioandaliwa na shirikila hilo leo jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel (kushoto) akitoa mada wakati wa mdahalo wa hatma ya ajira kwa
vijana wa Tanzania ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO)
na kushirikisha vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dar
es Salaam.
Mtaalam
wa ajira kutoka ILO Bw. Jealous Chirore akichangia mada wakati wa
mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa na Shirika
hilo na kushirikisha vijana kutoka Tanzania Bara na Visiwani leo jijini
Dar es Salaam.
Mwakilishi
kutoka YUNA – Chuo cha Bogamoyo akiuliza swali wakati wa mdahalo wa
hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa na Shirika la
Kimataifa la Ajira (ILO) na kushirikisha vijana kutoka Tanzania Bara na
Visiwani leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel
akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkazi Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO)
nchi ya Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda Bibi. Mary Kawar baada ya
kufungua mdahalo wa hatma ya ajira kwa vijana wa Tanzania ulioandaliwa na
Shirika la Kimataifa la Ajira (ILO) na kushirikisha vijana kutoka Tanzania Bara
na Visiwani leo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Genofeva Matemu - Maelezo
No comments:
Post a Comment