Select Menu

Matukio

News

Newspapers

Nishati

Jamii

Sports

News /Arusha

Technology

» » » » » » Matukio : Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA atembelea ofisi ya meya na mkurugenzi wa jiji la Arusha


 Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, Dr Vincent Mashinji (mwenye suti na tai ya bluu katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa madiwani na Meya wa Jiji hilo, Kalisti Lazaro kulia kwake, sambamba na viongozi wa CHADEMA Mkoa na Wilaya mbele ya Jengo la ofisi za Halmashauri ya Jiji baada ya ziara yake ya kutembelea ofisi za Meya wa Jiji la Arusha na ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mh Vecent Mashinji akiwa na viongozi wengine wa CHADEMA katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Mh Juma Iddi. Anayeonekana kuandika kitu ni Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha Mjini Mh Derick Magoma. 


Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, Dr Vincent Mashinji katika ofisi ya Meya wa Jiji la Arusha. Picha na Arusha 255 Blog

About Gadiola Emanuel

Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar. Check me on | Instagram: @wazalendo25blog | Twitter : @wazalendo25 | Facebook: Wazalendo 25 Blog
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply