Matukio /Afya : LANCET TANZANIA LIMITED yawapiga msasa madaktari na wauguzi Mawenzi ,Kilimanjaro - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 13 April 2016

demo-image

Matukio /Afya : LANCET TANZANIA LIMITED yawapiga msasa madaktari na wauguzi Mawenzi ,Kilimanjaro


IMG_8974+%25281280x853%2529 Mtafiti wa Magonjwa mbalimbali Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na wauguzi wa Hosptali ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakati wa warsha juu ya matumizi ya maabara ya kisasa iliyofunguliwa mjini Moshi kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali.IMG_8978+%25281280x853%2529

IMG_8979+%25281280x853%2529

IMG_8984+%25281280x853%2529

IMG_8985+%25281280x853%2529 Baadhi ya Madaktari na wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Dkt Ahemd Kalebi wakati wa warsha hiyo iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.IMG_8989+%25281280x853%2529 Dkt Kalebi akisisitiza jambo wakati akizungumzia juu ya ufanyaji wa vipimo kwa magonjwa kama saratani na magonjwa mengine ambayo wagonjwa wengi wamekuwa na tabia ya kwenda kutafuta matibabu nje ya nchi.

IMG_8987+%25281280x853%2529

IMG_9008+%25281280x853%2529

IMG_9009+%25281280x853%2529 Baadhi ya Madaktari na Wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakiwa katika Warsha hiyo. IMG_8969+%25281280x853%2529 Kaimu Mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt Josephat Bniface akizungumza jambo katika warsha hiyo ya siku moja iliyoenda sanjari na ufunguzi wa maabara ya kisasa ya Lancet iliyofunguliwa mjini Moshi.
IMG_9023+%25281280x853%2529+%25282%2529 Mtafiti wa magonjwa mbalimbali ,Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na wanahabari kuhusiana na mada aliyowasilisha katika warsha hiyo.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *