Kwenye mfuko wa jamii watumbuliwa : Waziri, Ummy Mwalimu awasimamisha watendaji wa NHIF kwa Ubadhirifu wa Fedha - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


22 Apr 2016

Kwenye mfuko wa jamii watumbuliwa : Waziri, Ummy Mwalimu awasimamisha watendaji wa NHIF kwa Ubadhirifu wa Fedha

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (pichani) amewasimamisha kazi kupisha uchunguzi kwa watendaji Wakuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa ubadhirifu wa fedha za mfuko huo kwa Mkoa wa Mara.
New Doc 1_1 (1)New Doc 1_2

Post Top Ad