Waziri
Mkuu Majaliwa na mkewe Mary wakimpa pole Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
na Mkewe Salma (kushoto) wakati walipokwenda nyumbani kwao jijini Dar
es salaam kuhani msiba wa kaka yake Rais Mstaafu Marehemu Selemani
Mrisho Kikwete leo.
(Picha n ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment