Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akimsikiliza
mtaalam wa kivuko eneo la Magogoni jijini Dar es salaam wakati
alipokagua kivuko cha MV Kigamboni na MV Magogoni kuona utendaji wake.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akifafanua
jambo kwa Meneja ujenzi wa kampuni ya BQ Bw. Neven Slavujevic
inayojenga mtambo wa kupima mafuta bandarini (flow meter ) kwenye kituo
cha kupakulia mafuta kilichopo Mji Mwema Kigamboni jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akipanda juu
ya mtambo wa kupima mafuta bandarini (flow meter) kwa ajili ya kuukagua
kwenye kituo cha kupakulia mafuta kilichopo Mji Mwema Kigamboni jijini
Dar es salaam.
Meneja
ujenzi wa kampuni ya BQ Bw. Neven Slavujevic inayojenga mtambo wa
kupima mafuta bandarini (flow meter )akifafafanua jambo kwa Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa alipokagua mtambo
huo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa wajenzi wa Flow meter ya Mji mwema.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akimsikiliza
mmoja wa abiria wanaotumia kivuko cha Magogoni kabla ya kukikagua.
No comments:
Post a Comment