Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia
CCM akionesha Cheti maalum cha Ushindi baada ya kukabidhiwa
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa
utoaji wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Unguja.
Mwenyekiti
wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha alipokuwa akitangaza
matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa marudio jana katika ukumbi wa Salama Bwawani
Mjini Unguja,ambapo Mgombe wa Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali
Mohamed Shein kaibuka kushinda uchaguzi huo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia
CCM na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakishangilia kwa makofi wakati
alipotangazwa kuwa mshindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Jecha Salim Jecha jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia
CCM na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakipongezwa na Mgombea wa Urais
kupitia Chama cha ACT-Wazalendo Bw,Khamis Iddi Lila (wa pili kulia)
baada ya kutangazwa mshindi wakati matokeo ya uchaguzi huo jana katika
ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia
CCM akipongezwa na Watoto wake baada ya kutangazwa mshindi wakati wa
matokeo ya uchaguzi huo jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini
Unguja.
Mgombea
wa Urais kupitia Chama cha ADC Bw,Hamad Rashid Mohammed akitoa
shukurani kwa niaba ya Vyama mbali mbali vilivyoshiriki uchaguzi wa
marudio baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha
ushindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha
jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi
kupitia CCM akipokea cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio
kutoka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati
wa utoaji wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia
CCM akisalimiana na Wagombea wa Vyama vya Siasa baada ya kutangazwa
mshindi jana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim
Jecha wakati wa utoaji wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa katika
ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia
CCM akisalimiana na Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ADC Bw,Hamad
Rashid baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha
ushindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha
wakati wa utoaji wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika
ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia
CCM akipongezwa na Mgombea wa Urais kupitia Chama cha AFP Said Soud
Said baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha ushindi
na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa
utoaji wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Unguja.
Baadhi
ya Viongozi wa Chama cha Mapindiuzi (CCM) na Wananchi na Vyma vya
Upinzani waliohudhuria katika hafla ya utolewaji wa matokeo ya Uchaguzi
Mkuu wa Marudio katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana.
Viongozi
mbali mbali wa CCM na vyama vya upinzani wakishuhudia matokeo ya
uchaguzi Mkuu wa marudio yaliyotolewa jana na Mwenyekiti wa Tume ya
Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha (hayupo pichani) katika ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Unguja.
Viongozi
mbali mbali wa vyama vya upinzani wakishuhudia matokeo ya uchaguzi Mkuu
wa marudio yaliyotolewa jana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Jecha Salim Jecha (hayupo pichani) katika ukumbi wa Salama Bwawani
Mjini Unguja,ambapo mshindi ametangazwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa
Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM.
No comments:
Post a Comment