Matukio : Hongera Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) Mhe. Anthony Mtaka kwa kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


14 Mar 2016

Matukio : Hongera Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) Mhe. Anthony Mtaka kwa kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akimkabidhi rais wa shirikisho la riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka ngao ya ushindi wa nafasi ya tatu aliyoipata katika mashindano ya Lake Biwa Marathon yaliyofanyika nchini Japan Machi 2016 . Picha na Dixon Busagaga

Blogu ya Wazalendo 25 Blog, Inakupongeza Sana kwa ufupi rais wa chama cha riadha nchini (RT) Mhe. Anthony Mtaka kwa kuteuliwa na Rais Dk. Pombe Magufuli  kuwa Mkuu wa Mkoa Mpya wa Simiyu. Tunatarajia Uongozi Bora, na wenye Weledi katika Mkoa mpya pamoja na chama cha Riadha Tanzania.

Tumeona juhudi zako ulipokuwa mkuu wa wilaya ya Hai kwa kutekeleza majukumu yako katika uweledi na pia kuanzisha mashindano mbali mbali ya riadha Tanzania kama vile DODOMA HAPA KAZI TU HALF MARATHON na kusaidia wanariadha wengi kuingia kambini na kujiandaa na mashindano ya Olimpiki nchini Brazil mwaka huu.

Post Top Ad