Maisha : Wafanyakazi wa PPF washiriki Bonanza maalum - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Mar 2016

Maisha : Wafanyakazi wa PPF washiriki Bonanza maalum

 Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza waMbio za Magunia kwa wanawake, Magreth John, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati  wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. 
 Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akishiriki mchezo wa kukimbiza kuku, wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko huo lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii,jijini Dar es Salaam,leo Machi 19,2016.
 Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za Magunia kwa Wanaume, Tumainieli Maleko, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati  wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
 Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za mita 200 kwa Wanawake, Susan Ringo, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati  wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, Machi 19,2016. 
 Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za Mita 200 kwa Wanaume, Elias Joseph,  aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati  wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichuana katika mchezo wa mbio za Magunia wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Katika mbio hizo Magreth John (mbele) aliibuka kidedea.
  Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,  wakishiriki mbio za Kizunguzungu, wakati wa Bonanza hilo.
 Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa pili wa Mbio za Mita 200 kwa Wanaume, Borrice Bwire, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati  wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
 Tumainieli Maleko, akimalizia mbio za magunia na kushika nafasi ya  kwanza wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,lililofanyika leo Machi 19,2016 kwenye Uwanja wa Ustawi wa Jamii,Jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakishiriki mazoezi ya pamoja wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichuana katika mchezo wa mbio za Magunia wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Katika mbio hizo Merey Sammy  (kushoto) alishika nafasi ya pili na Mery Malilo (kulia) aliibuka mshindi wa tatu,huku nafasi ya kwanza ikichukuliwa na Magreth John (hayupo pichani) 
 Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anthony Mkinga, akiruka kujaribu kumkamata Kuku, wakati wa mchezo huo wa kufukuza kuku katika Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016.
  wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,wakishiriki mchezo wa kuvuta Kamba wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko huo lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam,leo Machi 19,2016. Katika mchezo huo Wanawake waliibuka kidedea kwa kuwaburuza wanaume.
 Picha na MafotoBlog.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad