Makamu
Mwenyekiti wa Balraza la Michezo Zanzibar BMZ akizungumza wakati wa
hafla hiyo ya kukabidhi fedha kwa timu za JKU na Mafunzo za mchezo wao
wa Kombe la CAF inayotarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Meneja
wa Makampuni ya Hoteli za Ocean View Zanzibar Jacob Makundi akizungumza
na Waandishi wa habari na Viongozi na Wachezaji wa Timu za JKU na
Mafunzo wakati wa kukabidhi fedha za ununuzi wa tiketi wa michuano hiyo
inayoandaliwa na CAF Championc Leagua na Confederation Cup 2016. na
kuahidi kutowa gharama zote za michezo hiyo. inayotarajiwa kufanyika
tarehe 13-2-2016 na 14-2-2016 katika uwanja wa amaan Zanzibar.
Viongozi
wa Timu za JKU na Mafunzo wakimsikiliza Meneja wa Makampuni ya Zanzibar
Ocean View Zanzibar akizungumza wakati wa hafla hiyo na kutoa ahadi kwa
kilia Timun ikishinda mchezo wao huo wa awali itazawadiwa shilingin
Milioni Tano kwa ushindi wowote ule,wakati wa hafla ya kukabidhi fedha
za tiketi za mchezo huo Kampuni yake imenunua tiketi zote zenye thamani
ya shilingi miliono tano kila moja na kutowa fursa kwa Wapenzi wa mchezo
wa mpira Zanzibar kuona mapambano hayo bure bila ya kiingilio.
Wachezaji wa Timu za JKU na Mafunzo wakiwa katika hafla hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Wachezaji wa Timu za JKU na Mafunzo wakiwa katika hafla hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Mshauri
wa Kisheria wa Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar Mhe
Abdalla Juma akizungumza wakati wa hafla hiyo kwa niaba ya Kampuni hiyo
kuhusiana na udhamini wa mchezo huo kwa timu za JKU na Mafunzo. na
kutowa Salamu za Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni hayo Amani Ibrahim
Makungu.
Meneja
wa Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar Jacob Makundi
akimkabidhiwa Tiketi ya Mchezo wa JKU na Gaborone United Club na
Kiongozi wa Timu ya JKU Khamis Mohammed, mchezo utakaofanyika katika
Uwanja wa Amaan Zanzibar, Kampuni ya Zanzibar Ocean View Imenunua tiketi
hizo zote za mchezo huo na kutowa fursa kwa Wananchi na Wapenzi wa
Michezo Zanzibar kujionea Michuano hiyo ya CAF kujionea bure.
makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa hoteli hiyo Kilimani
Zanzibar
Meneja
wa Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar Jacob Makundi
akimkabidhi Milioni tano fedha za mauzo ya Tiketi ya Mchezo wa JKU na
Timu ya Gaborone United Club Kiongozi wa Timu ya JKU Khamis Mohammed,
mchezo utakaofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, Kampuni ya
Zanzibar Ocean View Imenunua tiketi hizo zote za mchezo huo na kutowa
fursa kwa Wananchi na Wapenzi wa Michezo Zanzibar kujionea Michuano hiyo
ya CAF kujionea bure. makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa
hoteli hiyo Kilimani Zanzibar
Meneja
wa Makampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar Jacob Makundi
akimkabidhi Milioni tano fedha za mauzo ya Tiketi ya Mchezo wa Mafunzo
na AS Vita Club ya Congo Kiongozi wa Timu hiyo Khamis Ali Machenga,

Msemaji
wa ZFA Ali Cheupe akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi fedha
za mauzo ya tiketi ya mchezo wa JKU na Mafunzo, uliofadiliwac na
Makampuni ya Hoteli ya Ocean View Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa
hoteli hiyo kilimani Zanzibar.
Kiongozi
wa Timu ya JKU akitowa shukrani kwa Timu za JKU na Mafunzo kwa ufadhili
wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View kudhamini Michuano hiyo kwa kununua
tiketi zote za michuano hiyo na kutowa fursa kwa wananchi kuona mchezo
huo bila ya kulipa kiingilio wakati wa michuano hiyo inayotarajiwa
kufanyika wiki ijayo kuazia tarehe 13-2-2016 na 14-2-2016
yatakayofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar na kuwataka
Wafanyabiashara wengine kujitokeza kudhamini michuano mbalimbali
Zanzibar ili kukuza kiwango cha Mpira Zanzibar.
Imetayarioshwa na OthmanMapara.Blogspot
Zanzinews.com
othmanmaulid@gmail.com.
No comments:
Post a Comment