Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akizungumza na wanachama wa chama cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga wakati wa mkutano mkuu wa 28 wa Ushirika huo. |
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga. |
Baba Mchungaji wa Usharika wa Nronga,Jorome Kimaro akitoa neno wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 28 wa Ushirika wa Maziwa wa Nronga. |
Baadhi ya wanachama. |
Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga wilayani Hai,Apansia Lema akisoma taarifa mbele ya mgeni rasmi katika mkutano wa 28 wa chama hicho. |
Katibu na Meneja wa Ushirika wa Maziwa wa Nronga,Helen Ainea akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka alipotembelea kiwanda hicho. |
Kiwanda cha kwanza cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga kilichopo Nronga-Machame wilayani Hai. |
Katibu na Meneja wa Ushirika wa Maziwa wa Nronga,Helen Ainea akimuonesha Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka maeneo mbalimbali yanayotumika katika uandaaji wa maziwa katika kiwanda hicho. |
Katibu na Meneja wa Ushirika wa Maziwa wa Nronga,Helen Ainea akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka alipotembelea kiwanda hicho |
Mkuu wa wilaya ya Hai,Athony Mtaka akitizama bidhaa ya maziwa katika kiwanda cha Ushirika huo kilichopo Nronga -Machame. |
Bidhaa ya Maziwa ya Chama cha Ushirika cha Nronga . |
Kiwanda cha Maziwa cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga wilayani Hai, |
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akizungumza jambo na Mwandishi wa habari James Paul alipotembelea kiwanda hicho. |
DC Mtaka akiangalia moja ya mtambo unaotumika katika uandaji wa Maziwa katika kiwanda cha Ushirika wa Maziwa wa Nronga. |
Sehemu ya mitambo hiyo. Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment