Maisha : Happy Birthday Fellow Blogger # Dixon Busagaga. - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


25 Feb 2016

Maisha : Happy Birthday Fellow Blogger # Dixon Busagaga.


Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini na mmiliki wa Busagaga's Orijino blog akifurahia jambo na Mama yake mzazi ,Mwalimu Eustera Massatu
Dixon Busagaga akionesha zawadi alizoanza kupokea.
Dixon Busagaga akiendelea na majukumu ya kila siku.

"Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunipa pumzi ya uhai hadi sasa,Nawashukuru wazazi wangu ,Mwl Eustera Massatu na Abdalah Hussein Mbaruku kwa malezi waliyonipatia,nawashukuru ndugu,jamaa na rafiki zangu wote na hasa mke wangu kwa kuendelea kunifunza"

"Mungu aawatangulie nyote mnaonendelea kutoa mchango mkubwa wa mawazo"

"Mungu awabariki sana ,Ameen."

Wazalendo 25 Blog, inakutakia Maisha Mema na Mafanikio Tele.

Post Top Ad