Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Ufundi Dkt. Leornad
Akwilapo akiongea na washiriki (hawapo pichani) wa kikao kazi kwa ajili
ya kuboresha miongozo ya Programu ya Kujenga Uwezo wa Walimu na
Wanafunzi –Student Teacher Enrichment Programme (STEP) kinachofanyika
katika Shule ya Sekondari Usagara Mkoani Tanga.
Mwakilishi
wa Taasisi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania, Silyvia Lupembe akiwa elezea
washiriki wa kikao kazi cha upitiaji na uboreshaji wa miongozo ya
Programu ya Kujenga Uwezo wa Walimu na Wanafunzi –Student Teacher
Enrichment Programme (STEP) jinsi Mamlaka hiyo ilivyojipanga katika
kuhakikisha inafadhili mafunzo ya walimu ili kuboresha elimu nchini.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Dkt. Dkt.
Leornad Akwilapo akisikiliza maelezo ya upitiaji na uboreshaji wa
miongozo ya Programu ya Kujenga Uwezo wa Walimu na Wanafunzi –Student
Teacher Enrichment Programme (STEP) katika Shule ya Sekondari Usagara
Mkoani Tanga.
Mmoja
wa washiriki wa kikao kazi cha upitiaji na uboreshaji wa miongozo ya
Programu ya Kujenga Uwezo wa Walimu na Wanafunzi –Student Teacher
Enrichment Programme (STEP) akitoa maelezo ya jinsi wanavyofanya kazi
hiyo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na
Ufundi Dkt Leonard Akwilapo.
Washiriki
wa kikao kazi kwa ajili ya kuboresha miongozo ya Programu ya Kujenga
Uwezo wa Walimu na Wanafunzi –Student Teacher Enrichment Programme
(STEP) wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na
Ufundi Dkt. Leornad Akwilapo wakati wa ufunguzi wa kikao kazi hicho
katika Shule ya Sekondari Usagara Mkoani Tanga.
No comments:
Post a Comment