Birthday : Happy Birthday Saleh Ally , Mhariri iongozi wa magazeti ya Championi - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


2 Feb 2016

Birthday : Happy Birthday Saleh Ally , Mhariri iongozi wa magazeti ya ChampioniLeo ni siku ya kuzaliwa ya Saleh Ally, mchambuzi na mwandishi mkongwe wa michezo nchini Tanzania ambaye kwa sasa ni Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi yanayomilikiwa na Kampuni ya Global Publishers Ltd na Mmiliki wa Blog  ya Saleh Jembe.

Saleh Ally amefanya mengi katika ulimwengu wa michezo na burudani ambapo amesharipoti michuano mbalimbali mikubwa ikiwemo Kombe la Dunia na pia amesafiri katika nchi nyingi za mabara tofauti akifanya kazi hiyo.

Kazi zake nyingi nzuri zimekuwa hamasa kwa waandishi wengi ambapo amekuwa kioo ‘role model’ kwa wengi wao. Tunamtakia kila la kheri katika maisha yake yote na Mungu ampe baraka nyingi.

Happy birthday Saleh Ally

Post Top Ad