Tanzia: Mhe. Leticia Nyerere Afariki Dunia huko Marekani - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 11 January 2016

Tanzia: Mhe. Leticia Nyerere Afariki Dunia huko Marekani


Aliyekua Mbunge viti maalum Leticia Nyerere ameaga Dunia leo katika Hospitali ya Doctors Community iliyopo Lan ham, Maryland. Msiba DMV upo 9004 Brightlea Court, Lanham, MD 20706. Taarifa zaidi baadae R.I.P. mama yetu tulikupenda lakini Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi.

No comments:

Post a Comment