Utalii wa Ndani : Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali George Waitara Aongoza Timu ya Maafisa 24 wa Jeshi Kupanda Mlima Kilimanjaro - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Monday, 7 December 2015

demo-image

Utalii wa Ndani : Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali George Waitara Aongoza Timu ya Maafisa 24 wa Jeshi Kupanda Mlima Kilimanjaro

IMG_0908+%25281024x683%2529
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza katia hafla fupi ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa maofisa 24 wa jeshi la wananchi Tanzania .kulia ni Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara na kushoto ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi la wananchi ,Luteni Jenerali ,Samweli Ndomba. 
IMG_0873+%25281024x683%2529
Baadhi ya washiriki wa zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro. 
IMG_0864+%25281024x683%2529
Mkuu wa majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara akizungumza katika hafla hiyo. 
IMG_0914+%25281024x683%2529
IMG_0915+%25281024x683%2529
Baadhi ya wapandaji. 
IMG_0892+%25281024x683%2529
Mhifadhi Mkuu ,Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,( KINAPA) akizungumza wakati wa hafla hiyo.
IMG_0919+%25281024x683%2529
Washiriki. 
IMG_0877+%25281024x683%2529
Afisa Masoko wa KINAPA,Antypas Mgungusi akieleza jambo wakati wa hafala hiyo. 
IMG_0856+%25281024x683%2529
Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi ya Utalii,Balozi Charles Sanga ni mingoni mwa washiriki wa zoezi hilo la kupanda mlima Kilimanjaro. 
IMG_0922+%25281024x683%2529
Mhifadhi mkuu KINAPA,Erastus Lufunguro akiongozana na mgeni rasmi kwa ajili ya kukabidhi bendera kwa wapandaji mlima hao. 
IMG_0925+%25281024x683%2529
Mgeni rasmi katika hafla hiyo ,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi,Fulgence Mponji akikabidhi bendera kwa Mkuu wa majeshi mstaafu ,Jenerali George Waitara ambaye ndiye kiongozi wa msafara huo. 
IMG_0933+%25281024x683%2529
Washiriki wakijiandaa kuanza safari. 
IMG_0935+%25281024x683%2529
IMG_0942+%25281024x683%2529
IMG_9947+%25281024x683%2529
IMG_9953+%25281024x683%2529
IMG_9954+%25281024x683%2529
IMG_9955+%25281024x683%2529
Safari ya kuelekea kilele cha Mlima Kilimanjaro ikaanza kwa maafisa 24 wa JWTZ .
Na Dixon Busagaga Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *