Matukio : Ridhiwani Kikwete Ateta na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue Ikulu - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 29 December 2015

Matukio : Ridhiwani Kikwete Ateta na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue Ikulu


 Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya Rais Dk John Magufuli kuwaapisha mawaziri waliokuwa wamesalia Ikulu, Dar es Salaam jana.
 Ridhiwani pia alipata wasaa wa kujadiliana mambo mbalimbali na kiongozi huyo wa watumishi wa serikali. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG


No comments:

Post a Comment