Michezo : Simba Yaikausha Majimaji Ya Songea 6 - 1 - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


1 Nov 2015

Michezo : Simba Yaikausha Majimaji Ya Songea 6 - 1

Mshambuliaji wa Simba, Peter, Mwalyanzi akiwatoba wachezaji wa Majimaji ya Songea katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambapo Simba iliibuka na ushindi wa bao 6-1. (Picha na Francis Dande)
Wachezaji wa Simba, Hamis Kiiza na Irahim Hajibu wakishangilia kwa pamoja moja ya bao lililofungwa na Hajibu.
Ibrahim Hajibu wa Simba akiifungia timu yake bao la kichwa.
Wachezji wa Majimaji ya Songea baada ya kufungwa.
Hamis Kiiza akimiliki mpira.
Wachezaji wa Majimaji wakilaumiana baada ya kufungwa.
Golikipa wa Majimaji, David Burhan akichuana na Peter Mwalyanzi.
Mwinyi Kazimoto akichuana na beki wa Majimaji.
Mashabiki wa Simba.
Wachezaji wa Simba wakishangilia.
Kocha wa Simba, Dyllan Kerr akishangilia na wachezaji wake.
Wachezaji wa Simba wakishangilia na kocha wa timu hiyo, Dyllan Kerr.
Furaha ya ushindi..........

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad