Tanzania Freestyle football championship (TFFC2016) ambalo ni shindano la kutafuta/kusaka vipaji vya kuchezea mpira yaani freestyle soccer/Freestyle Football wengi hupenda kuita hivyo ambalo linatarajiwa kuendeshwa kama vile mashindano mengine ya kutafuta vipaji kwa njia mbalimbali ikiwemo ile ya TV show.
Waweza wasiliana nao kupitia anuani hapa +255 654 955 825/ +255 655 049 647
Utalii : Tanzania yang'ara Maonyesho Makubwa ya Utalii ITB-Berlin 2025
-
Mkurugenzi wa Mauzo wa Turaco Collection Tanzania, Bw. Florenso Kirambata
(kulia) akiwa na baadhi ya wageni waliofika kwenye banda la Tanzania wakati
w...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment