JK
akiaga wananchi kwa furaha wakati akiingia uwanja wa Uhuru katika
sherehe rasmi za kumuapisha mristhi wake Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais
Jakaya Kikwete akiongea jambo na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis
Mwamunnyange wakati akielelekea kwenye jukwaa kwa ajili ya shughuli ya
kumuaga rasmi

Rais Kikwete akipokea saluti kwa mara ya mwisho kama Rais huku wimbo wa Taifa ukipigwa

wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda,
Katibu wa Baraza la Mawaziri Mhe. Mdemu, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman
wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa

Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan

Jukwaa la kuapishwa wakati wa wimbo wa Taifa

Rais Kikwete akipigiwa mizinga 21 wakati nyimbo ya Taifa ikipigwa

Sehemu ya umati

Rais Kikwete akienda kukagua gwaride la heshima

Rais Kikwete akikagua gwaride lililojipanga katika muundo wa Omega

Rais Kikwete akigeukia jukwaa kuu wakati bendera yake ya Urais ikitelemshwa rasmi

Jukwaa kuu likiwa na Marais na viongozi mbalimbali wa Afrika

Sehemu ya viongozi, wabunge na mabalozi

Sehemu ya viongozi, wabunge na mabalozi

Sehemu ya viongozi, wabunge na mabalozi

Bendera (Presidential Standard) ya Rais Kikwete ikitelemshwa kuashiria ukomo wa Urais wake

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitelemka jukwaani baada ya shughuli rasmi za kumuaga

Rais Mstaafu Jakaya Kikwte akipeana mikono na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali

Rais
Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia
Suluhu Hassan, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu
wakisubiri Rais wa awamu ya Tano kula kiapo

Rais
wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Spika Anne Makinda, Karani wa Baraza
la Mawaziri Bw. Gerson Mdemu, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue,
Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis
Mwamunyange wakisubiri muda wa kuapishwa Rais na Makamu wa Rais

Viongozi wa dini Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally na Askofu Dkt. Alex Malasusa wa KKKT

Rais
wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Spika Anne Makinda, Karani wa Baraza
la Mawaziri Bw. Gerson Mdemu, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue,
Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis
Mwamunyange wakisubiri muda wa kuapishwa Rais na Makamu wa Rais

Mandhari ya jukwaa la kuapishia kabla ya kiapo

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akila kiapo

wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akijiandaa kuweka saini yake baada ya kula kiapo

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini baada ya kula kiapo

Rais
wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akimuangalia Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande
Othman akiweka saini kwenye hati yake ya kiapo

Rais
wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akipokea kitendea kazi toka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe Mohamed Chande Othman

Rais
wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akipongezwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande
Othman

Joseph Magufuli akiwa na mkuki na ngao aliokabidhiwa na wazee

Rais
wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akipongezwa na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete

"....Hapa
ndipo panapokustahili Rais Mstaafu anamwambia Rais wa awamu ya Tano wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akila kiapo

Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akisaini hati yake ya kiapo

Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman akisaini hati ya kiapo ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan

Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akipokea kitendea kazi

Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akipongewa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman

Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akipongezwa na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Gharib Bilali

Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akipongezwa na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein

Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akipongezwa na Spika Anne Makinda

Viongozi wapya na wastaafu

Viongozi wapya na wastaafu wakibadilishana mawazo

Majaji wa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu ya Tanzania wakishuhudia tukio hilo la kihistoria

Viongozi wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama wakishuhudia tukio hilo

Ni wakati sasa wa Rais Mstaafu na Makamu wa Rais Mstaafu kuondoka jukwaa la kuapia

Gadi maalumu ikiwasindikiza wastaafu

Rais mstaafu na Makamu wake Mstaafu wakiaga rasmi

Wastaafu wakiondoka

Makamu wa Rais Mpya Mhe Samia Suluhu Hassan akielekea Jukwaa kuu

Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein akielekea jukwaa kuu

Spika Anne Makinda, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakielekea jukwaa kuu

Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, ambaye ndiye alikuwa mwenyekiti wa
kamati ya maandalizi ya sherehe hizi akielekea jukwaa kuu

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akishuka jukwaa la kuapia

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielekea jukwaa la saluti

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa juu ya jukwaa la saluti

Rais
wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akisimama wima wakati wimbo wa Taifa ukipigwa na mizinga
21 ikipigwa

Joseph Magufuli akikagua gwaride rasmi likiwa katika muundo wa Alpha
kuashiria kushika madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu

Joseph Magufuli akitembea kikakamavu bada ya kukagua gwaride rasmi
likiwa katika muundo wa Alpha kuashiria kushika madaraka ya Amiri Jeshi
Mkuu

Joseph Magufuli akisalimiana na Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wake wa Rais

Rais
wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein

Rais
wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akipongezwa na mkewe Mama Janet Magufuli

Rais
wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akipongezwa na aliyemrithi Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Joseph Magufuliakirudi kuketi baada ya kupongezwa na Rais Kagame wa
Rwanda, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe,
Rais Mstaafu na Rais Joseph Kabila wa DR Congo

Jukwaa kuu

Rais
wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akiongea na aliyemrithi Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Familia ya Rais Magufuli walikuwepo

Mawaziri wakuu wastaafu

Viongozi mbalimbali

Mkurugenzi wa Uchaguzi Mhe Kailima Ramadhani akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Mhe Philemon Luhanjo

Wake wa viongozi akiwemo Mama Ghalib Bilali na Mama Margaret Kenyatta

Sehemu ya wake wa viongozi

Sehemu ya viongozi

Viongozi mbalimbali

viongozi

Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akiwa na Alhaji Aliko Dangote

Jukwaa kuu wakati wa wimbo wa Taifa

Askari wakila kiapo cha utii

Ndege vita zikipita kutoa saluti kwa Amiri Jeshi Mkuu mpya

Jukwaa kuu likiangalia ndege jeshi

Rais Museveni wa Uganda akitambulishwa

Rais Kagame wa Rwanda akisalimia wananchi

Rais Joseph Kabila akisalimia wananchi

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini akisalimia

Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimia wananchi

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji akitambulishwa

Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn akisalimia wananchi

Wasanii wa TASUBA wakitumbuiza

Wasanii wa ngoma ya msewe kutoka pemba

Wimbo maalum ukiimbwa

Jukwaa kuu

Kwaya

Vijana wa Yamoto Band wakitumbuiza

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa hotuba ya shukurani

Rais Dkt Magufuli akiagana na viongozi

Rais Dkt Magufuli akiagana na mtoto wa Rais Mstaafu Ali Kikwete

Rais Dkt Magufuli akiagana na wajukuu na watoto wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Rais Dkt Magufuli akiagana na Kamishina Mkuu wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile baada ya sherehe hizo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment