Matukio : Rais Dk. Magufuli Ampendekeza Mhe. Kassim Majaliwa Kwenye Nafasi ya Waziri Mkuu - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 19 November 2015

Matukio : Rais Dk. Magufuli Ampendekeza Mhe. Kassim Majaliwa Kwenye Nafasi ya Waziri Mkuu


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amepeleka Bungeni jina la Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Lindi, Mh. Kassim Majaliwa kwa kupigiwa kura na Wabunge ili kuwa Warizi Mkuu wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment