Pia, tuliangalia (mbali na mambo mengine), mwanzo wa awamu ya tano ya utawala wa Tanzania, na matarajio ya wengine.
Tunaizungumzia TANZANIA ya sasa na ile ijayo....hasa tutakayo.
Tuambie.......
1: Je! Ni lipi unalokumbuka zaidi kuhusu uongozi wa Rais Jakaya Kikwete?
2: Unazungumziaje namna Rais Magufuli alivyoanza wiki ya kwanza ofisini?
Na ninj ungependa viwe vipaumbele kwa uongozi huu??
3: Una matumaini na matarajio gani na bunge la 11 litakalosimikwa rasmi hivi karibuni?
No comments:
Post a Comment