Maisha : Misa ya Marehemu Mama Judica Moshi, Washington DC - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Tuesday, 3 November 2015

demo-image

Maisha : Misa ya Marehemu Mama Judica Moshi, Washington DC

IMG_1748
Ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali, jana (Novemba mosi 2015) walijumuika na wanafamilia katika misa na kusherehekea maisha ya Mama Gren Judica Moshi iliyofanyika hapa Washington DC
Watoto wawili wa Marehemu Donald na James Moshi, na ndugu wengine, waliungana kwa misa hiyo iliyofanyika alasiri na kufatiwa na chakula cha pamoja
IMG_1565
IMG_1566
Mchungaji kiongozi wa Kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries Ferdnand Shideko, akiwakaribisha watu waliohudhuria misa hiyo

IMG_1575
Mch John Kadyolo akifungua misa kwa maombi
IMG_1568
 Wanafamilia
IMG_1588
 Richard Mollel akisoma somo la kwanza
IMG_1590
Janice Manse akisoma somo la pili
IMG_1599
 Joseph Maro akisoma historia ya marehemu Gren Judica Moshi
IMG_1583
 Julius Manase, akiongoza utaratibu wa ibada
IMG_1608
IMG_1611
Mchungaji Ferdnand Shideko akihubiri
IMG_1618
IMG_1619
IMG_1621
IMG_1629
 Wachungaji wakiombea familia
IMG_1656
IMG_1653
 Watoto wa Marehemu, Donald na James Moshi wakifuatilia Ibada IMG_1634 Wachungaji wakiongoza maombi kwa wanafamilia
IMG_1645
 Andrew Mushi akitoa shukrani kwa niaba ya familia
IMG_1633
IMG_1662

IMG_1678

IMG_1682
IMG_1685 IMG_1688 IMG_1706 IMG_1701 IMG_1700 IMG_1695 IMG_1692

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *