CHUO
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM)kimesherehekea miaka kumi (10)
tangu kuanzishwa kwake mwaka 2005, (2005 - 2015). Maadhimisho hayo
yameenda sambamba na mahafari ya Nane kati ya (2008 - 2015).
Mahafali
hayo yalihudhuriwa na Mgeni rasmi, Profesa Dkt. Fadzil Adam,
Mkurugenzi wa Chuo cha Kiislam cha Morogoro na mtafiti wa chuo kikuu
cha Zanzibar (SZA),wa Nchini Malaysia Kuala Teregganu.
Pamoja na kusherekea miaka kumi ya chuo hicho pamoja na mahafari ya nane ya chuo hicho yalihudhuliwa na Mkuu wa chuo hicho Hajjat Mwantum Mlale, Mkuu
wa chuo kikuu ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza chuo kikuu cha
Kiislam cha Morogoro (MUM), Profesa Hamza Mustafa Njozi, pamoja na
Mwenyekiti Baraza la chuo hicho Profesa Bakari Lembariti.
Mahafari yalifanyika katika chuo kikuu cha Kiislam cha Morogoro (MUM) mwishoni mwa wiki Novemba 14 mwaka huu.
CHUO Kikuu
cha Waislamu cha Morogoro (MUM)kimesherehekea miaka kumi (10) tangu
kuanzishwa kwake mwaka 2005 - 2015, maadhimisho hayo yameenda sambamba
na mahafari ya Nane ya chuo hicho,(2008 - 2015).
Msafara wa wahadhiri wa Chuo
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) walipo wasili katika viwanja vya
chuo hicho kwaajili ya Sherehe ya kuadhimisha miaka kumi ya chuo hicho
pamoja na Mahafari ya wahitimu wa Kozi mbalimbali katika chuo hicho,
mahafari yaliyofanyika Morogoro mwishoni mwa wiki Novemba 14,2015.
Wageni wakiwasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM).
Mkuu wa kitengo cha masomo ya uandishi wa habari katika Chuo
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM), Salim Said Ali (aliyesimama)
akiwakaribisha wageni katika Mahafari yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) Novemba 14,2015.
Mkuu wa chuo hicho Hajjat Mwantum Mlale akiwa katika Mahafari ya nane ya Chuo
Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) ambaye pia ndiye aliyokuwa
akiwatunuku katika mahari hayo wanafunzi waliofuzu kozi mbalimbali
katika chuo hicho.
Mahafari hayo yalifunguliwa kwa Swala ambapo pichani ni baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho wakifungua kwa swala.
Baadhi
ya wanafunzi waliofunzu masomo yao na waliohudhuriwa katika mahafari ya
Nane ya chuo cha Kiislam cha Morogoro, (MUM) Novemba 14, 2015. Kwa Picha Zaidi Bofya Hapa >>>
No comments:
Post a Comment