Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akizungumza nawanahabari pamoja na Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro juu ya tishio la ugonjwa hatari wa Kipindupindu. |
Baadhi ya Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro pamoja na waandishi wa habari wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amos Makala ,( hayupo pichani). |
Baadhi ya waandishi wa habari wakiuliza maswali mbele ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala (hayupo pichani) |
Mganga Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Hajati Dkt Mtumwa Mwako (kushoto ) akiandika mambo kadhaa ambayo yameibuliwa na waandishi wa habari katika mkutano huo. |
Na Dixon Busagaga wa kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment