Mwandaaji wa Bongo Star Search, Rita Paulsen akizungumza na waandishi wa habari( hawapo pichani) juu ya fainali ya (BSS) itakayofanyika Ijumaa ya Oktoba 9 mwaka huu katika ukumbi wa King Solomoni Hall uliopo karibu na Nyumbani Lounge au Eaters Point eneo la Namanga kuanzia saa moja jioni kikao hicho kimefanyika Jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Huawei Samson Majwala.
Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Huawei, Samson Majwala akisisitiza jambo katika kikao hicho kulia ni Meneja Masoko wa Huawei Lyadla Nangaki.
Baadhi ya Wandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mwandaaji wa Bongo Star Search Rita Paulsen.
Mshiriki wa (BSS 1O3) kutoka Arusha Nassib Fonabo akionesha umahili wake wa kucharaza gita mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa (BSS) wakiwa katika picha ya pamoja na Mwandaaji wa Bongo Star Search Rita Paulsen jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment