Afisa
Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions africa Mama Shekha Nasser Akieleza
Jambo wakati wa Mkutano wa Wadau wa Mradi wa Manjano Dream Makes akiwa
Pamoja na Mkufunzi wa Maswala ya Biashara Ndugu Felix Maganjila.
Lengo
la Mkutano huo ilikuwa ni kuwakutanisha Dream Makers Pamoja Mantor's Wao
,Uongozi Na Wafanyakazi wa Manjano Foundation na Mkufunzi wa Maswala ya
Biashara kwa lengo la kutadhimini Maendeleo ya Mradi huo Tangu
Ulipoanzishwa Pamoja na Changamoto Mbalimbali wanazokutana nazo wakati
wa Kutekeleza Mradi Huo.
Manjano
Drem Makers ni Mradi ulioanzisha kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye
Ujasiriamali.Mafunzo Chini ya Taasisi ya Manjano Foundation.Lengo la
Mradi huo ni kuwajengea Uwezo wanwake wa Kitanzania Kupitia Bidhaa
bidhaa za Vipodozi vya Luv touch Manjano kujisimamia na Kujikita kwenye
Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara kwa lengo la
Kumjengea uwezo Mwanamke wa Kitanzania.
Mpaka
sasa zaidi ya wanawake 25 Kutoka Mkoa wa Dar es salaam wamenufaika na
Mafunzo ya Ujasiriamali ya Namna ya Kuendesha Biashara zao na
wamewezeshawa Mitaji ya Kuanzisha Biashara zao kupitia Vipodozi vya Luv
Touch Manjano.
Wanufaika wa mradi wa manjano Drema makers.
Washiriki
wa Mradi wa ujasiriamali kupitia Vipodozi vya Luv Touch Manjano wakiwa
katika Picha ya Pamoja na Mwanamitindo Flaviana Matata. Mkurugenzi wa
8020 Fashion Shamim Mwasha akiwa katika Picha na baadhi ya wanufaika wa
Mradi wa kuwewezesha wanawake kuwa wajasiriamali kupitia vipodozi vya
Luv Touch Manjano ulio chini ya Taasisi ya Manjano Foundation
Picha
ya Pamoja Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions africa Mama Shekha
Nasser ( Wa pili kulia) Akiwa na Mentor's wa Manjano Foundation ambao ni
washauri wakuu wa Wanawake walionufaika na Mradi wa Ujasiriamali
kupitia Vipodozi vya Luv Touch Manjano.
Picha
ya Pamoja Washiriki wa Mafunzo ya Ujasiriamali yaliochini ya Taasisi ya
Manjano foundation wakiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions
afrika Mama Shekha Nasser (Watatu kutoka kulia waliokaa),Mkufunzi wa
Maswala ya Biashara Felix Maganjila (wa Pili kulia waliokaa), Meneja
mradu huo Mama Franswaz Msinga (Wapili kutoka Kushoto waliokaa) Pamoja
na washauri wakuu wa wanawake walionufaika ma Mradi Huo.
No comments:
Post a Comment