Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na balozi wa China Mhe. LU Youqing
wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi katika eneo litakapojengwa jengo
la Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa jijini Dar es Salaam
leo.
SERIKALI YAHIMIZA WANANCHI KUPATA ELIMU YA FEDHA
-
Kaimu Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha,
Bi. Dionisia Mjema (Katikati), akizungumza katika mkutano na wanahabari wa
Jiji...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment