Matukio : Mwanaharakati wa Michezo Tanzania Bw. Wilhelm Gidabuday Atabiri Uchaguzi Mkuu 2015 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Thursday, 22 October 2015

Matukio : Mwanaharakati wa Michezo Tanzania Bw. Wilhelm Gidabuday Atabiri Uchaguzi Mkuu 2015

UTABIRI USIO NA SHAKA;

(1)Ukawa tutashinda uchaguzi mkuu kwa 62%

(2)CCM watakamata namba mbili kwa 32%

(3)ACT Wazalendo nafasi ya tatu kwa 3%

(4)Vyama vingine 1.8%

(5)Zitakazoharibika ni 1.2%

NOTE:

-JARIBIO LA UWIZI WA KURA UTAFANYIKA LAKINI UTASHINDIKANA SABABU WANANCHI WATAKUWA TAYARI KWA LOLOTE.

-UTABIRI WA USHINDI NI 'EXACT' ASILIMIA ZA USHINDI NI 'APPROXIMATE'

-UKAWA ITADHIBITI 'ABSOLUTE' MAJORITY KATIKA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO NA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR.

By Gidabuday
October 18/2015
1week till elections.

No comments:

Post a Comment