Elimu Yetu : CRDB Yatoa Msaada wa Madawati200 kwa Shule ya Msingi Buyuni, Ilala Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Saturday, 10 October 2015

demo-image

Elimu Yetu : CRDB Yatoa Msaada wa Madawati200 kwa Shule ya Msingi Buyuni, Ilala Dar es Salaam

_MG_9596
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Madawati hayo yametolewa na Benki ya CRDB ili kukabiliana na upungufu wa madawati shuleni hapo.
_MG_9615
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Madawati hayo yametolewa na Benki ya CRDB ili kukabiliana na upungufu wa madawati shuleni hapo.
_MG_9777 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto) akikata utepe wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo Chanika katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Kariakoo, Andrew Augustine, Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Asha Mapunda (wa pili kulia) na Mkuu wa shule hiyo, Maulidi Maliki.
_MG_9778
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto) akikata utepe wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo Chanika katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Kariakoo, Andrew Augustine, Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Asha Mapunda (wa pili kulia) na Mkuu wa shule hiyo, Maulidi Maliki.
_MG_9785
Kutoka kushoto ni Mkuu wa Shule Buyuni, Maulidi Maliki, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Asha Mapunda na Meneja wa Benki wa Benki ya CRDB tawi la Kariakoo, Andrew Augustine wakipiga makofi baada ya Benki ya CRDB kukabidhi msaada wa madawati 200
_MG_9802
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi keki ya maalum ya shukrani Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Asha Mapunda wakati wa hafla hiyo.
_MG_9818 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charle Kimei (kushoto), akikagua sehemu ya madawati 200 yaliyokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa uongozi wa Shule ya Msingi Buyuni. Kulia ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Kariakoo, Andrew Augustine.
_MG_9890
 Wanafunzi wakiwa wamekaa katika madawati waliokabidhiwa na Benki ya CRDB.
_MG_9893
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Buyuni
KUANGALIA+MADAWATI+1
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiangalia sehemu ya madawati 200 yaliyokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa uongozi wa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja wa Benki hiyo tawi la Kariakoo, Andrew Augustine na Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Asha Mapunda.
KUKALIA+MADAWATI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charle Kimei (Katikati) akiwa na Mkuu wa Shule ya Msingi Buyuni, Maulidi Maliki (wa pili kushoto), Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Asha Mapunda  (kulia) na Meneja wa Benki hiyo tawi la Kariakoo, Andrew Augustine (wa pili kulia), wakiwa pamoja na wanafunzi wa shule hiyo baada ya kukabidhi madawati 200 yaliyotolewa na uongozi wa Benki ya CRDB. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Dar es Salaam.
_MG_8957
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Buyuni wakiwa na furaha baada ya uongozi wa Benki ya CRDB kukabidhi madawati 200.
_MG_9191
 Sehemu ya madawati yaliyotolewa na Benki ya CRDB.
_MG_9217
Madawati 200 yalitolewa na Benki ya CRDB.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *