Wanawake Wanaweza : Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Nchini Lafana - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Saturday, 19 September 2015

Wanawake Wanaweza : Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Nchini Lafana

 Meneja wa Mpango wa  Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (katikati) akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi katika Kongamano la Wajasiriamali Wanawake nchini kabla ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam .wa kwanza kushoto ni Meneja Msaidizi wa Mfuko huo Bi Matilda Nyallu. 
 Meneja wa Mpango wa  Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (katikati) akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi katika Kongamano la Wajasiriamali Wanawake nchini  kabla ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakiwa katika Banda la Mfuko huo wakati katika Kongamano la Wajasiriamali Wanawake nchini kabla ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam , wa kwanza kulia ni Meneja wa Mpango wa  Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe.
 Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi akizindua Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) katika Kongamano la Wanawake Wajasiriamali nchini lililofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni Rais wa VoWET nchini Bi. Mahida Waziri
 Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi akimlisha keki Rais wa VoWET nchini Bi. Mahida Waziri katika Kongamano la Wanawake Wajasiriamali nchini mara baada ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania. (Picha na Benjamin Sawe)

No comments:

Post a Comment