Wafanyakazi wa Kissa Pharmacy Ltd Pharmaceuticals Whole Sale And Retali Mbeya Tz wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika eneo la mapango ya Amboni (AMBANI CAVES ) kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali ya kihistoria ndani ya Mapango hayo sanjali na kuhamasisha utalii wa ndani.Picha na Emanuel Madafa Baba JJ |
Wafanyakazi Kissa Pharmacy wakisikiliza kwa makini maelezo ya mmoja wa watoa huduma katika mapango hayo Ndugu Allan Yohana kabla ya kuanza rasmi shughuli ya kutembelea mapango hayo.(JAMIIMOJABLOG) |
muonekano kwa baadhi ya maeneo ndani ya mapango hayo ya Amboni Caves . |
Mkurugenzi Kissa Pharmacy Mbeya Ndugu Gasper Kilango Singo akiwa ndani ya mapango hayo . |
The Amboni Caves are the most extensive limestone caves in East Africa. They are located 8 km north of Tanga City in Tanzania off the Tanga-Mombasa road. The caves were formed about 150 million years ago during the Jurassicage.
It covers an area of 234 km². According to researchers the area was
under water some 20 million years ago. There are altogether ten caves
but only one is used for guided tours.
No comments:
Post a Comment