Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Younq
ing akiongea na baadhi ya wasanii wa sanaa ya uchoraji wa Tingatinga katika hafla ya utoaji wa Tuzo
la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania
iliyofanyika leo (jana) jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China.
Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa
Serikali ya Tanzania na China.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,
Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea
katika hafla ya utoaji wa
Tuzo la Mashindano ya Kimataifa
ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo (jana) jijini Dar es Salaam.Tuzo
hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China ambapo
washindi wawili wataelekea nchini China kwa ajili ya kubadilishana utamaduni
Mmoja wa wachoraji wa sanaa ya Tingatinga akionyesha cheti chake
cha ushindi katika hafla ya utoaji wa Tuzo
la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania
iliyofanyika leo (jana) jijini Dar es Salaam,wa kwanza aliyekaa kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,
Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga.Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China
ambapo washindi wawili wataelekea nchini China kwa ajili ya kubadilishana
utamaduni.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,
Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akimpongeza mmoja wa washindi wa
uchoraji wa Sanaa ya Tingitinga katika utoaji wa Tuzo la Mashindano ya
Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo (jana) jijini Dar
es Salaam, Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Prof. Hermas
Mwansoko. Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China
ambapo washindi wawili wataelekea nchini China kwa ajili ya kubadilishana
utamaduni.
Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Younq
ing akimkabidhi mmoja wa washindi wa
uchoraji wa sanaa ya tingatinga katika utoaji wa Tuzo la Mashindano ya
Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo (jana) jijini Dar
es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa
ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. ambapo washindi wawili
wataelekea nchini China kwa ajili ya kubadilishana utamaduni.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya
Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Prof. Hermas Mwansoko akimkabidhi
mmoja wa washindi wa uchoraji wa
sanaa ya tingatinga katika utoaji wa Tuzo la Mashindano ya Kimataifa ya
Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo (jana) jijini Dar es Salaam.
Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa
Serikali ya Tanzania na China. ambapo washindi wawili wataelekea nchini China
kwa ajili ya kubadilishana utamaduni.
Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi
Tanzania Bw. Adrian Nyangamale akiongea na baadhi ya wasanii wa sanaa ya uchoraji wa Tingatinga katika hafla ya utoaji wa Tuzo
la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania
iliyofanyika leo (jana) jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China.
Tuzo hizo zimetolewa kwa ushirikiano wa
Serikali ya Tanzania na China.
No comments:
Post a Comment