Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto)
akipokea hati ya utambulisho ya Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar
Hebogard Jensen (kulia) Ikulu jijini Dar es salaam wakati
alipokwenda kujitambulisha.
Balozi
wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen akisaini kitabu cha
wageni wakati alipokuwa anaenda kukabidhi hati ya utambulisho na
kujitambulisha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya
Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto)
akisalimiana na Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen
(kulia) wakati alipokwenda kujitambulisha na kukabidhi hati ya
utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kulia)
akisalimiana na Balozi wa Denmark (kushoto) nchini Tamzania Einar
Hebogard Jensen mara baada ya kukabidhi hati ya utambulisho Ikulu
jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kulia)
akibadilishana mawazo na Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar
Hebogard Jensen (kushoto) wakati alipokwenda kujitambulisha na kukabidhi
hati ya utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam.
Balozi
wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (kulia) akisalimiana
na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt.
Maadhi Juma Maalimu (wa pili kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam.
Balozi
wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen (katikati mstari wa
mbele) akiwa amesimama wakati nyimbo za taifa za Tanzania na Denmark
zikiimbwa Ikulu jijini Dar es salaam alipokwenda kujitambulisha kwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete.
Bendi
ya Jeshi la Polisi nchini ikipiga nyimbo za taifa za Tanzania na
Denmark wakati Balozi wa Denmark nchini Tamzania Einar Hebogard Jensen
(katikati mstari wa mbele) alipokuwa anakwenda kujitambulisha kwa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete.
(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment