Matukio : Katibu Kiongozi Ombeni Sefue Afungua kikao kazi cha Wadau wa Kuchochea Maendeleo - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 17 August 2015

Matukio : Katibu Kiongozi Ombeni Sefue Afungua kikao kazi cha Wadau wa Kuchochea Maendeleo

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue  akifungua kikao kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa kujenga na kuimarisha Stadi za kazi katika Sekta zinazochochea ukuaji wa  uchumi Tanzania
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Consolata Mgimba akizungumza katika kikao kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa kujenga na kuimarisha Stadi za kazi katika Sekta zinazochochea ukuaji Uchumi Tanzania. 
Washiriki wa kikao kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa kujenga na kuimarisha Stadi za kazi katika Sekta zinazochochea ukuaji Uchumi Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue. 
 Baadhi ya washiriki katika kikao kazi cha wadau cha kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa kujenga na kuimarisha Stadi za kazi katika Sekta zinazochochea ukuaji Uchumi Tanzania.

No comments:

Post a Comment