Kaimu Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Wa Anga Tanzania (TCAA) Varrely Chanmlunga
akimkaribisha Meneja Mipango wa Kimataifa wa Idara ya uya uongozaji wa
Ndege wa Marekani (FAA) Michele Cappelle wakati wa Warsha ya
uongozaji wa ndega barani afrika iliyoandaliwa na Idara ya Anga ya
Marekani .Washa hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi wa Idara ya Uongozaji wa Ndege ya Marekani (FAA) Tony
Ferrante.
Baadhi
ya washiriki wa Warsha ya uongozaji wa Ndega barani
afrika iliyoandaliwa na Idara ya Anga ya Marekani (FAA) kwa
kushirikiana na Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)leo jijini
Dar es Salaam wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa katika
warsha hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Uongozaji wa Ndege nchini Marekani
(FAA) Tony Ferrante akitoa mafunzo ya uongozaji wa ndege wakati wa
warsha iliyowashirikisha waoungozaji ndege kutoka barani afrika ,wakati
wa warsha iliyoandaliwa na Idara ya uongozaji wa Ndege ya Marekani na TCAA ,leo jijini Dar es Salaam. Wanao msikiliza kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Wa Anga Tanzania (TCAA) Varrely Chanmlunga, Meneja Mipango wa Kimataifa wa Idara ya uya uongozaji wa Ndege wa Marekani (FAA) Michele Cappelle na mtaalamu wa mipango wa idara ya uongozaji wa ndege wa Marekani FAA,Rebecca Barthe
Washiriki
wa warsha ya uongozaji wa ndege barani afrika wakiwa katika picha ya
pamoja wakati wa warsha hiyo iliyoandaliwa na Idara ya uongozaji wa
ndege ya Marekani FAA kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania TCAA,iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment