Rais
Jakaya Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la
Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete
akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Jakaya Kikwete (katikati), akiwa meza kuu na viongozi wengine. Kulia ni
Waziri wa Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbawara na Mwenyekiti wa
Bodi ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Kanali
mstaafu Joseph Simbakalia, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii
(REPOA), Profesa Samuel Wangwe akipita meza kuu kwenda kutoa mada
wakati wa uzinduzi wa kongamano hilo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii
(REPOA), Profesa Samuel Wangwe akitoa mada yake juu ya umuhimu wa
sayansi na utafiti
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii
(REPOA), Profesa Samuel Wangwe akitoa mada yake juu ya umuhimu wa
sayansi na utafiti.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Kanali
mstaafu Joseph Simbakalia akimshukuru Rais Kikwete kwa kuwafungulia
kongamano hilo.
Meza kuu katika picha ya pamoja na watafiti na wanasayansi vijana
Meza kuu na watafiti na wanasayansi
Meza kuu na maafisa wa wizara ya Sayansi na Teknolojia
Balozi wa Sweden nchini akisalimiana na Rais Kikwete
Meza kuu katika picha ya pamoja na wafadhili na wataalamu kutoka Korea
Bendi ya THT ikitoa Burudani
Rais
Kikwete akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la
Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano. Hapa ni banda la
COSTECH
Rais
Kikwete akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la
Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akiongea na wabunifu vijana wakati akitembelea mabanda ya
maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na
Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es
Salaam Jumatano.

Kikwete akiangalia ubunifu wa teknoljia wakati akitembelea mabanda ya
maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na
Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es
Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akipata picha na wataalamu kutoka Korea wakati akitembelea
mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akipata picha na wataalamu kutoka Korea wakati akitembelea
mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akipata picha na wataalamu kutoka Korea wakati akitembelea
mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akipeana mikono na wataalamu kutoka Korea wakati akitembelea
mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akiongea na wabunifu vijana wakati akitembelea mabanda ya
maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na
Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es
Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akiongea na wabunifu vijana wakati akitembelea mabanda ya
maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na
Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es
Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akiongea na wabunifu vijana wakati akitembelea mabanda ya
maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na
Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es
Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akipata maelezo wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika
Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika
ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Banda la tasisi ya Utafiti wa Kilimo
Rais
Kikwete akipata maelezo juu ya teknolojia mpya ya kupunguza ajali
barabarani wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la
nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Kikwete akipata maelezo toka kwa Profesa Nerey Mvungi juu ya
teknolojia mpya ya kupunguza ajali barabarani wakati akitembelea mabanda
ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akipata maelezo toka kwa Profesa Nerey Mvungi juu ya
teknolojia mpya ya kupunguza ajali barabarani wakati akitembelea mabanda
ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akipata maelezo ya tasisi ya SEMA inayojishughulisha na
utumiaji wa teknolojia ya kisaa katika kupatikana kwa maji safi na
salama vijijini wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano
la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akipata maelezo ya tasisi ya SEMA inayojishughulisha na
utumiaji wa teknolojia ya kisaa katika kupatikana kwa maji safi na
salama vijijini wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano
la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akipata maelezo toka kwa mmoja wa wabunifu vijana wakati
akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la
Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo
Rais Kikwete akipata maelezo ya utengenezaji w kisasa wa Juisi ya ndizi
Rais
Kikwete akisalimiana na mtaalamu wa kutoka Ujerumani anayefundisha
wataalamu wa Tanzania namna ya kukabiliana na maji taka na takataka
mijini
Wataalamu wakieleza namna ya kukabiliana na maji taka na takataka mijini
Banda la Oxford University Pres
Vitabu vya kiada katika banda la Oxford
Zawadi ya Kamusi ya Kiingereza ya Oxford

Kituo cha utafiti wa dawa asilia cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Watalamu wa kupambana na ugonjwa wa sickle ceel
Rais
Kikwete katika banda la Max Malipo ambayo imetokana na juhudi za COSTECH
za kuvumbua na kukuza vipaji vya wanasayansi na watafiti

Max Malipo
Rais
Kikwete akipata maelezo toka kwa mtafiti kijana wakati akitembelea
mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Rais
Kikwete akipata maelezo toka kwa kijana Godfrey Magila ambaye amebuni
king'amuzi cha kutumika kwa simu za mikononi kupata TV zote nchini kwa
gharama nafuu na popote ulipo nchini

Rais Kikwete akiendelea kutembelea mabanda ya vijana wabunifu
Banda la Mkombozi SACCOS
Rais
Kikwete akiondoka baada ya kumaliza kutembelea mabanda ya maonesho
katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu
katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam
Jumatano.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika uzinduzi huo.
Washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete
akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete
akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Balozi wa Sweden nchini akiwa mmoja wa washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete
akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete
akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Washiriki wakimsikiliza Rais Kikwete
akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi,
Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika uzinduzi huo.
MC wa shughuli hiyo Bw. Theophil Mlaki akiwa kazini
No comments:
Post a Comment