Siasa Zetu : Profesa Muhongo Kutangaza nia Leo, Tukuze Uchumi Tuondoe Umaskini Pamoja - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 2 June 2015

Siasa Zetu : Profesa Muhongo Kutangaza nia Leo, Tukuze Uchumi Tuondoe Umaskini Pamoja



Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.

No comments:

Post a Comment