Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM
Wilaya ya Kwimba Ndugu Petro Ngh'ingi wakati wa mapokezi kwenye kijiji
cha Mwamaya kata ya Hungumalwa Pichani kati ni Katibu wa CCM Wilaya ya
Kwimba Bi.Tabu Lugwesa.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la
Kwimba Mhe. Shanif Hilan Mansoor wakati wa mapokezi kwenye kijiji cha
Mwamaya kata ya Hungumalwa wilaya ya kwimba mkoani Mwanza.
Walinzi wa Jadi wa kisukuma maarufu kwa jina la Sungusungu wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye mavazi ya jadi ya walinzi wa Kisukuma maarufu kama Sungusungu.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kata ya
hungumalwa waliojitokeza kwa wingi kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana kwenye kijiji cha Mwamaya, Kwimba mkoani Mwanza.
Mbunge
wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Hilan Mansoor akihutubia wakazi wa
kijiji cha Mwamaya wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji
cha Mwamaya waliojitokeza kwa wingi kumpokea kwenye wilaya ya Kwimba,
mkoani Mwanza.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasha umeme kama ishara ya
kuwasha umeme kwenye nyumba ya Ndugu Charles Lusana mkazi wa kijiji cha
Mwamaya kata ya Hungumalwa,Kwimba mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Ndugu
Charles Lusanamkazi wa kijiji cha Mwamaya kata ya Hungumalwa mkoani
Mwanza mara baada ya zoezi la kuwasha umeme kukamilika
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia kikundi cha ngoma za
utamaduni Idibuili wakati alipotembelea kijiji cha Hungumalwa kuona na
kushiriki ujenzi wa Zahanati.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi ya Chadema kutoka
kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilula Hamala Materemki, kata ya ilula
wilani Kwimba aliyejiuzulu na kuamua kujiunga na CCM.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Diwani ya kata ya
Hungumalwa Shija Marando wakati wa kuona na kushiriki ujenzi wa zahanati
ya kijiji cha Hungumalwa.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wakazi wa kijiji
cha Hungumalwa wakati wa kuona maendeleo ya ujenzi wa zahanati ya
kijiji.Wengine pichani ni Mbunge wa jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Hilan
Mansoor na Diwani wa Kata ya Hungumalwa Shija Marando.
Mbunge wa jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Hilan Mansoor akishiriki ujenzi wa zahanati ya Hungumalwa wilayani Kwimba.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Movies, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
No comments:
Post a Comment