Siasa Zetu :Freeman Mbowe ,Ndesamburo ,Jafary Michael Watikisa Mmji wa Moshi. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 22 June 2015

demo-image

Siasa Zetu :Freeman Mbowe ,Ndesamburo ,Jafary Michael Watikisa Mmji wa Moshi.


E86A1289+%25281280x853%2529
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi .
E86A1301+%25281280x853%2529
Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Philemon Ndesamburo walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi,wengine ni Mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa Kilimanjaro ,Helga Mchomu .
E86A1305+%25281280x853%2529
Mamia ya wananchi waliohudhulia mkutano huo ,wakimsikiliza mstahiki Meya,Jafary Michael (hayuko pichani).
E86A1311+%25281280x853%2529
Msatahiki Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael akizungumza katika mkuta huo.
E86A1313+%25281280x853%2529
E86A1316+%25281280x853%2529
E86A1323+%25281280x853%2529

Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway.
E86A1333+%25281280x853%2529
E86A1340+%25281280x853%2529
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimkaribisha Mwenyekiti wa Chadema taifa ,Freman Mbowe kuhutubia wananchi katika viwanja vya Railway mjini Moshi.
E86A1350+%25281280x853%2529
E86A1369+%25281280x853%2529
E86A1391+%25281280x853%2529
E86A1423+%25281280x853%2529
Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freeman Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi.
E86A1428+%25281280x853%2529
E86A1435+%25281280x853%2529
E86A1437+%25281280x853%2529
E86A1444+%25281280x853%2529
Mbowe akiagana na wananchi waliohudhuria mkutano huo .
E86A1449+%25281280x853%2529

Mwenyekiti wa Chadema taifa,Freeman Mbowe akisalimiana na wananchi waliojirtokeza katika mkutano huo.
E86A1471+%25281280x853%2529
Mbowe akisindikizwa na wananchi wakati akiondoka katika iwaja ya Railway.


Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *