Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi
wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo
Padilla kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa
Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi
ya balozi huyo jijini Dar es salaam

Balozi
wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo
Padilla qkihutubia kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya
kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana
jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

Mabalozi
na viongozi mbalimbali kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya
kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana
jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiongea
kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis
kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya
balozi huyo jijini Dar es salaam

Sehemu
ya maaskofu kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa
Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye
makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

Rais
Kikwete akisoma hotuba yake kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili
ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana
jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

Rais
Kikwete akigonganisha glasi na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa
nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla na Muadhama kardinali
Polycarp Pengo kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa
Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani jana jioni kwenye
makazi ya balozi huyo jijini Dar es salaam

Rais
Kikwete akigonganisha glasi na Kiongozi wa Mabalozi nchini na Balozi wa
DRC Mhe. Asumani Mpango pamoja na Mhe Membe na Rais wa baraza la
Maskofo wa Kikatoliki Tanzania (TEC) Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa
kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis
kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya
balozi huyo jijini Dar es salaam

Meza Kuu ikishereherekea miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa kanisa katoliki duniani

Meza Kuu wakati wa hafla hiyo

Rais Kikwete akiongea na Mabalozi na viongozi wengine kwenye sherehe
za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa
kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini
Dar es salaam

Waziri
Membe akimtambulisha Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini
Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwa Kaimu Mufti wa Tanzania
Sheikh abubakar Zubeiry aliyealikwa kwenye sherehe hizo

rais
Kikwete, Waziri Membe, Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini
Tanzania, Francisco Montecillo Padilla na Kaimu Mufti wa Tanzania
Sheikh abubakar Zubeiry kwenye sherehe hizo

Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe
za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa
kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini
Dar es salaam

Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe
za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa
kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini
Dar es salaam

Rais Kikwete akiagana na Maaskofu na viongozi wengine baada ya kuhudhuria sherehe
za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa Kiongozi wa
kanisa katoliki nchini jana jioni kwenye makazi ya balozi huyo jijini
Dar es salaam

Rais Kikwete akiagana na watawa baada ya kuhudhuria sherehe

Rais Kikwete akisalimiana na Mabalozi na viongozi wengine kwenye sherehe

Dar es salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment