Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa (wa pili kulia) akimpa pole Sheikh
Mkuu wa Dar es salaam, Alhaj Mussa Salum wakati alipowasili Nyumbani kwa
Marehemu Mufti Issa Shaaban bin Simba, eneo la Majengo, Mkoani
Shinyanga leo Juni 16, 2015. Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, 2015
kwenye hospitali ya TMJ Mikocheni Jijini Dar es salaam. Mufti Simba
amezikwa leo kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa (wa pili kulia) akisalimiana na Kaadhi
Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi wakati alipowasili Nyumbani
kwa Marehemu Mufti Issa Shaaban bin Simba, eneo la Majengo, Mkoani
Shinyanga leo Juni 16, 2015. Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, 2015
kwenye hospitali ya TMJ Mikocheni Jijini Dar es salaam. Mufti Simba
amezikwa leo kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Sehemu
ya Masheikh wakiwa kwenye Msiba wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania,
Mufti Issa Shaaban bin Simba, eneo la Majengo, Mkoani Shinyanga leo Juni
16, 2015.
Mawaziri
Wakuu Wastaafu, Mh. Edward Lowassa (kushoto) na Mh. Fredrick Sumaye,
wakisalimiana wakati walipokutana kwenye Msiba wa Sheikh Mkuu wa
Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, leo Juni 16, 2015, nyumbani
kwake Majengo, Mkoani Shinyanga.
Mawaziri
Wakuu Wastaafu, Mh. Edward Lowassa (kushoto) na Mh. Fredrick Sumaye,
wakizungumza jambo wakati walipokutana kwenye Msiba wa Sheikh Mkuu wa
Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, leo Juni 16, 2015, nyumbani
kwake Majengo, Mkoani Shinyanga.
Jeneza lenye mwili wa Marehemu,
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, likitolewa
nyumbani kwake, tayari kwa safari ya kwenda msikitini kuswaliwa na
baadae kwenye mazishi, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Masheikh
kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Sheikh Mkuu wa Tanzania,
Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye
Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Umati
wa Waumini wa Dini ya Kiislam na wale wasio waislam wakiwa kwenye
Mazishi ya Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba,
aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane
Mkoani Shinyanga.
Mtoto
wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba,
Suleiman Simba akiweka ugongo kwenye Kaburi la Baba yake, aliezikwa leo
Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo
Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Kaadhi
Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Mnyasi akiweka ugongo kwenye Kaburi
la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba,
aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane
Mkoani Shinyanga.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akiweka ugongo kwenye Kaburi la
Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba,
aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane
Mkoani Shinyanga.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiweka ugongo kwenye Kaburi la
Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba,
aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane
Mkoani Shinyanga.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja akiweka ugongo kwenye Kaburi la
Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba,
aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane
Mkoani Shinyanga.
Waziri
wa Mambo ya Nchi za Nje, Mh. Bernard Membe akiweka ugongo kwenye Kaburi
la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba,
aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane
Mkoani Shinyanga.
Waumini
wa Kiislam wakiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa
Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015
kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Alhaj Rajab Hassan Kiungiza akisoma Dua
kumuombea Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, mara
baada ya mashishi yake leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam,
Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa.
Baadhi ya waumini wa Kiislam wa Mkoa wa Shinyanga, Wakisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa.
Mh. Lowassa akiondoka Makaburini.
"Kwaheriniiiii........ndugu zangu."
No comments:
Post a Comment