Afya Zetu : Bohari ya Dawa (MSD) Yashiriki Maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma, Mnazi mmoja Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 17 June 2015

Afya Zetu : Bohari ya Dawa (MSD) Yashiriki Maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma, Mnazi mmoja Dar



Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akiwa ndani ya banda la MSD.

Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo yaliyoyoanza na kufikia tamati baada ya wiki moja
Ofisa Uhusiano Mkuu wa MSD, Etty Kusiluka (kulia), akimuelekeza jambo Mwanahabari aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo. Katikati ni Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema.
Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema (kushoto), akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la MSD.
Vifaa tiba vikioneshwa katika banda hilo.
Muonekano wa banda la MSD katika maonyesho hayo.

No comments:

Post a Comment