
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji
miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja katika msikiti wa marehemu
aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini
jana.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji
miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali ya gari
iliyopinduka huko Mtowapwani Kaskazini jana na kuzikwa leo katika
makaburi ya Mwanakwerekwe.

Baadhi
ya wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu walioshiriki katika maziko
ya Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini
Unguja aliyefariki kwa ajali ya gari iliyopinduka huko Mtowapwani
Kaskazini jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na ndugu wa Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28
mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja baada ya mazishi yaliyofanyika leo
makaburi ya Mwanakwerekwe marehemu alifariki kwa ajali ya gari
iliyopinduka jana huko Mtowapwani Kaskazini A Unguja.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akimfariji Salhia Sheha Khamis mkaazi wa Kwamtipura aliyelazwa
katika hospitali ya Mnazi Mmoja jana baada ya kupata ajali ya kupinduka
kwa gari iliyobeba wanaCCM wakitokea Nungwi katika shuhuli za kichama
katika ajali hiyo watatu wamefariki Dunia.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akimfariji Bi Mauwa Ali Khamis mkaazi wa Kwamtipura aliyelazwa
katika hospitali ya Mnazi Mmoja jana baada ya kupata mshtuko wa ajali ya
kupinduka kwa gari iliyobeba wanaCCM wakitokea Nungwi katika shuhuli
za kichama katika ajali hiyo watatu wamefariki Dunia.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipokuwa akitoa maelekezo kwa
watendaji wa Chama katika Hospitali ya Mnazi Mmoja jana alipoungana na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein kuwafariji Wanachama wa CCM waliolazwa katika baada ya
kupata ajali ya kupinduka kwa gari walilopanda wakitokea Nungwi katika
shuhuli za kichama katika ajali hiyo watatu wamefariki Dunia.
Baadhi
ya Wananchi na wanaCCM wakibeba jeneza la Marehemu Bi Munira Abdalla
Mkaazi wa Mkele Mjini Unguja aliyefariki kwa Ajali iliyotokea jana
Mkokotoni Mtowapwani kwa kupinduka Waliokuwa wamepanda wanachama wa CCM
wakitokea Nungwi Marehemu amezikwa leo makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein na Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi vuai Nahodha waliongana na
Wananchi na wanaCCM katika maziko ya Marehemu Bi Munira Abdalla Mkaazi
wa Mkele aliyefariki kwa Ajali iliyotokea jana Mkokotoni Mtowapwani kwa
kupinduka Waliokuwa wamepanda wanachama wa CCM wakitokea Nungwi Marehemu
amezikwa leo makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein na Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi vuai Nahodha waliongana na
Wananchi na wanaCCM katika kumuombea Dua Marehemu Bi Munira Abdalla
Mkaazi wa Mkele aliyefariki kwa Ajali iliyotokea jana Mkokotoni
Mtowapwani kwa kupinduka Waliokuwa wamepanda wanachama wa CCM wakitokea
Nungwi, Marehemu amezikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini
Unguja.[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment