Athari ya mvua hasa kwa miundo mbinu ni kubwa,pichani ni sehemu ya barabara ya mbezi chini.
Uchafu
mkubwa uliokuwa umeziba daraja la mto mbezi chini ukiondolewa,kuziba
kwa daraja hilo ilipelekea maji ya mto huo kupita juu ya daraja na
kupelekea atha kubwa kwa wakazi wa eneo hilo na sehemu nyingine.
Athari
kubwa ya mvua iliyopelekea kuleta adha kubwa katikati ya jiji la Dar na
kwingineko,pichani ni hali halisi ya maji kutuama mbele ya soko la
Mboga mboga na Matunda eneo la Afrika Sana-Sinza.
Kufa kufaaaana.
Sehemu ya Mto mbezi
No comments:
Post a Comment