![]() |
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini(EU)Filiberto Sebregondi akizungumza katika maadhimisho hayo kulia ni Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(Utawala na Fedha)Liberat Mfumukeko |
![]() |
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini(EU)Filiberto Sebregondi(kushoto))akipongezana na Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(Miundombinu)Dk Enos Bukuku baada ya kutoa hotuba yake. |
![]() |
Jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu mkoa wa Arusha wakiwa kwenye maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Ulaya(EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki(Eac) |
![]() |
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini(EU)Filiberto Sebregondi(kulia)akifurahia jambo na Naibu Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(Utawala na Fedha)Liberat Mfumukeko |
![]() |
Jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu mkoa wa Arusha wakiwa kwenye maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Ulaya(EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki. |





No comments:
Post a Comment