Maisha na Ndoa : Blogger Adam Mzee na Bi. Lilian Wafunga Pingu za Maisha, Jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 3 May 2015

Maisha na Ndoa : Blogger Adam Mzee na Bi. Lilian Wafunga Pingu za Maisha, Jijini Dar es Salaam


ADA3 
Bwana Harusi Adam Mzee na mkewe Lilian wakiwa wamepozi mara baada ya kufunga ndoa na kufanya sherehe nyao kubwa kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam jana Hongereni sana  Bwana Adam Mzee kwa kuachana na ukapera.
 ADA1 
 Bi Lilian Akipozi kwa picha.
ADA2 
Maharusi wakiingia ukumbini  ADA4 
Maharusi wakipiga picha na Marafiki.
ADA5
Adam Mzee na mkewe akipiga picha na mabosi wake wapili kutoka kulia ni Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM na wa tatu kutoka kushoto ni Nape nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Adam Mzee ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi CCM. Picha na Full Shangwe Blog

No comments:

Post a Comment